Mimi niko fresh kwa kweli, sina hofu na mdudu ujue
Wote tuko fresh ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi niko fresh kwa kweli, sina hofu na mdudu ujue
Tunasubiria nini sasa twende zetu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ulisoma vibaya ni 15000000Mmmh wee si ndo ulikuwa unalia lia kule kwenye uzi eti demu kakuomba 15,000 chaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende wapi ? Hospital?Tunasubiria nini sasa twende zetu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hapa wengi hawatokuelewa [emoji19]Siku utakayopima ukimwi ndio siku utakayopata ukimwi.
Hahaha tuwahi
Anza na yule aliyeomba buku 15Mtoto mzuri nakuhitaji nikubadilishie maisha
Tena kama una mkono wa sweta hauchelewi .....!Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika kufanyiwa vipimo vya afya ikiwemo HIV test.
Alipopimwa alikutwa Positive, ni takribani mwezi sasa tangu apime kijana huyo ambaye alikuwa ni handsome kwa muonekano wa mwili wake kwa sasa amekuwa zaidi ya babu kizee, amekonda amebaki mifupa na kutembea kwake kwa shida.
Nashindwa kuelewa ni kitu cha ghafla kilichompata kijana huyu mpaka kuwa na hali hiyo, anyway, na kwa niliyoyaona sitashawishika kupima Ukimwi bora tu niendelee kuishi kwa matumaini.
NB :Sishawishi wengine wasipime huo ni msimamo wangu tu.
Tupunguze uasharati jamani Ukimwi bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia njia mapenzi kinyume na maumbile ni hatari mno
Ilinikuta mkuu, na mfanyakazi mwenzangu tena alitoka mkoa mwingine akaja mkoani na wenzie wawili wakapanga chumba,......
Baada ya kazi kama mwezi tukapanga Party ya pamoja, tukatoka jioni tukachoma Mbuzi na Vinywaji baadae tukaenda Night Club, huku na huku ikawa mda mwingi nipo nae, mara vinywaji mara bolingo na vile aliumbika automaticaly tukajikuta room wawili asubui .......
Nawasha simu watsap nakutana na sms ya mwenzie, ikiambatana na Picha ya kopo la ARV Iikinihasa, niachane nae au nitumie kimba maana wanamjua kaasirika...iyo sms ilitakiwa iingie usiku vile simu yangu ilikua imezima na nilipiga kavu....
Nilipagawa mpaka akastuka ila nkamwambia mambo ya hm, nkamtoa nkaenda Hospital nkapima nkakutwa -ve, nkapewa PEP, mwezi mzima ziliniendasha vibaya nwezi mzima, nkaenda kupima tena mara 2 nkaambiwa sina.... .
Dah, nkajifunza na mbinu mbali mbali juu ya kuepuka na UKIMWI, Ata hivyo skumwambia, alibaki kua friend japo mara kwa mara alikua anataka tena nkawa nampiga kalend tu......
UKIMWI UPO UKITAKA KUAMINI NENDA AU ULIZA WATU WA CTC....
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kutojua kama ninao hata kama nikiwa nao kwakuwa itanipunguzia hata speed ya utafutaji wa maisha kwa kujiona kuwa ni waleo wa kesho na kukube besha dhambi nyingne ya kutokula kwa jasho lako kama neno la mungu lisemavyo na kupunguza komborela za kikubwa japo kuupata ni ktk njia nyingi tofauti.Sasa usipopima utajuaje hali yako kijana?
Pima uishi kwa amani, maana kama utakuwa negative itakufanya uwe makini na uache kabisa kudinyana dinyana kusiko na mpango...
Asante saana mkuu kwa kuelimisha jamii kwa ujumla na pole sana tatito wabongo siku hizi wakiona kalio tuu wanadata kumbe ni umeme.Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.
Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.
Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.
Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.
Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.
Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
---------------------------------------------------------------------------------
PEP | HIV Basics | HIV/AIDS | CDC
PEP ni ARV's za kawaida ila hizi humezwa kila siku kwa siku 28 tu.