Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Mimi nawashangaaga wadada wanaoshawishika kirahisi wakati jibu rahisi ni kumwambia tu mwanaume nimeathirika uone kama atakufata tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijidanganye aise, kuna Watu wanaishi humu duniani kama vile akili wameziazima.

Usiniambie hujawahi kuwasikia Wanaume wanaoshawishi Changudoa amkubalie bila condom? na wapo tayari kulipa zaidi wakubaliwe.

Kuna siku nilikuwa nakatiza kwenye moja ya vijiwe vyao Arusha, nikakuta Changudoa wawili wanagombana na kuporomosheana matusi ya nguoni....mmoja akamwambia mwenzake "njaa itakuuwa mse.. wewe, umet.....bwa kavu kwa elfu thelathini unajiona mjanja"
 
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
mimi nishapima ukimwi mara kibao na naendelea kupima na nitaendelea kupima.. ila hii kitu kupima si mchezo hata kama hujagegeda ila kiroho tu kinakuuma kipo juu juu.
 
Majuzi niliamua kupima HIV mwenyewe kwenye SD bioline nikiwa kichakani ila kwa njia nizilizopita na Haya majibu ya negative nimeamini Yesu anaponya...na mungu ni jehova Rapha...mungu ni mponyaji. Loh! Sina ukimwi!? Sidhini tena hovyo hovyo.

Pia tatizo huwa lina nguvu ukiwa unalitazama na kulipa nafasi just ignore it and live your life, we will all die someday, ndege haanguki akiwa angani sababu yuko comfortable lakini mtu akigundua yuko angani lazma ataanguka maana anapanick na kupoteza comfortability...if you are positive stay positive.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pimeni acheni woga. Ukikutwa nao ni kama Malaria tu. Unafata masharti uishi kwa amani.
 
nilienda sinza palestina..daktari akaniandikia vipimo viwili...kimoja cha maralia kingine ukimwi vyote navijua ila yeye akadhani mi sijui...nimeenda kuchukua majibu ananiambia maralia huna...nikamuuliza na ukimwi je si umeniandikia nipimwe akasema(huku akipepesa macho)..huna ukimwi...sijui kwanini hawasemagi aisee...najaribu kuvuta picha ningekutwa nao..
 
mkuu haka kapimio naweza kukapata wapu kabisa afu kwa bei gani na mimi nikajipimie kabulini tuu maana amna namna yaani.....afu jinsi ya kusoma matokeo ni namna gani mkuu...msaada please!!!!
 
mkuu haka kapimio naweza kukapata wapu kabisa afu kwa bei gani na mimi nikajipimie kabulini tuu maana amna namna yaani.....afu jinsi ya kusoma matokeo ni namna gani mkuu...msaada please!!!!
Nakitaka pia. Sasa ni mwendo wa kupimana tu. Kupima kwanza then kwichikwichi
 
Akya Mungu Mimi hapa Mimi haswaa sipimi hata unishikie bunduki kichwani ......!, kuna docta mmoja fala fala Fulani kidogo angeniua maabara ..yaani Mimi nimeenda Pima malaria yeye na ukichaa wake akajumlisha na kipimo cha HIV nilitaman kumtafuna ........ila pimeni wakuu inakufanya unakuwa makini ........[HASHTAG]#MIMI[/HASHTAG] SIPIMI KWASABABU SIWEZI VUMILIA PRESHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nilivyo Mimi nikifika kwa doctor kupima ukimwi sipendi kuulizwa maswali jibu ni moja tu v+ or v- nisepe zangu. Au kabla ya hapo namwambia aniandikie kwenye karatasi naenda kuangalia chumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…