Kwa hali ya kawaida: Anaethibitika kuua binadamu mwenzake pasinashaka hata yeye hastahili kabisa kuishi (wanini sasa)

Kwa hali ya kawaida: Anaethibitika kuua binadamu mwenzake pasinashaka hata yeye hastahili kabisa kuishi (wanini sasa)

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kuna Sheria na Hekima

Hivyo vyote mataifa mengi sana yanavitumia kuongoza jamii!

Migororo mingi hutatuliwa kwa sheria na hekima! Bahati mbaya hekima huwa inaangalia zaidi maslahi ya wengi.

Mtu anaethibitika kumuua binadam mwenzake kwa makusudi kwa mikono yake mwenyewe hafai kabisa kuishi na jamii yoyote hata iwe gerezani hapamfai kufungwa!

Mataifa mengi hutumia HEKIMA ya kuuwa watu wa sampuli hizo ili wasilete taharuki na kuimarisha msawazo wa haki katika jamii husika! Ukweli ndo huo hata kama unauchungu!

Ile kauli ya "tutagawana majengo ya serikali achaneni nayo"
 
Kama nawaona jamaa zetu wa legasi wakipiga jalamba tayari kuchukua namba ya mtu
 
Back
Top Bottom