Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Kabiashara kadogo nataka kukaanzisha, lakini kutokana na usumbufu wa TRA kwasasa,je naweza kuwafuata nikawaomba japo miezi 6 kisha ndio nianze kulipia?
Kwa hali ya TRA ya sasa wamekuwa kama mchwa watakavyoniandama.
Msaada tafadhal
Kuna kitu inaitwa tax holiday na ipo kisheria kwa kila biashara mpya japo TRA hawapendi kuizungumzia!Kuna Kabiashara kadogo nataka kukaanzisha, lakini kutokana na usumbufu wa TRA kwasasa,je naweza kuwafuata nikawaomba japo miezi 6 kisha ndio nianze kulipia?
Kwa hali ya TRA ya sasa wamekuwa kama mchwa watakavyoniandama.
Msaada tafadhal
Shukran sana nitalifanyia kazi panapo uhai soon1. Ungeifafanua vema biashara hiyo unayotaka kuanzisha
2. Kama biashara yako hiyo unayotarajia itakuwa na mauzo zaidi ya mil 4 utawajibika kulipa kodi.
3. Fika ofisi za TRA zilizo karibu nawe upate mwongozo na ushauri mzuri zaidi juu ya kulipa au kutolipa kodi nk nk
4. Laah tumia washauri wa kodi kukupa mwongozo sahihi juu ya masuala haya ya kodi.
Kujificha kutokulipa au kukwepa kodi kwa makusudi au kwa kutokujua ni hatari kwa ustawi wa biashara yako.