Kwa hapa Tanzania mwenye PhD ya ukweli aliyesomea akasota anatakiwa alipwe kiasi gani kama mshahara?

Niliwahi kupendekeza waondoe mfumo wa Posha badala yake wapandishe mishahara kama mfumo wa private sector

Ungeshangaa mtu anayelipwa 2.5 anaweza kulipwa 3.5 to 4M bila kuongeza mzigo wowote kwa serikali

pia ingekuwa rahisi kushare cake ya Taifa fairly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…