Unataka serikali inajisifia kwenye jambo lipi?Ukiona serikali yoyote duniani inajisifu kwa kujenga miundombinu, vituo vya afya, kusambaza maji na umeme, ujue ni serikali ya wajinga. Hayo yote ni wajibu wa serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivyo wajibu wa serikali ya Kenya kutumia pesa za nchi hovyo hovyo bila kuwaambia wananchi nini serikali yao imewafanyia kutokana na kodi zake, wakenya wanachoambiwa ni kuhusu handshake na kila kabila kumlinda mtu wake anaposhutumiwa kula pesa ya serikali.Ukiona serikali yoyote duniani inajisifu kwa kujenga miundombinu, vituo vya afya, kusambaza maji na umeme, ujue ni serikali ya wajinga. Hayo yote ni wajibu wa serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya serikali ipo na wananchi wanakufa na njaa sijui hali ya maji safi na matibabu ipo vipi kama jukumu dogo kama uhakika wa chakula, serikali imelishindwaUkiona serikali yoyote duniani inajisifu kwa kujenga miundombinu, vituo vya afya, kusambaza maji na umeme, ujue ni serikali ya wajinga. Hayo yote ni wajibu wa serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona serikali yoyote duniani inajisifu kwa kujenga miundombinu, vituo vya afya, kusambaza maji na umeme, ujue ni serikali ya wajinga. Hayo yote ni wajibu wa serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu ni mambo madogo ambayo nchi za kichovu ldc type ndo hushangilia,big boy countries hutosikia huko tulishapita siku nyingi sanaUkiona serikali yoyote duniani inajisifu kwa kujenga miundombinu, vituo vya afya, kusambaza maji na umeme, ujue ni serikali ya wajinga. Hayo yote ni wajibu wa serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
But wait...... Hivi zile laptops kwa kila mwanafunzi zilipoteleaga wapi?
Then the
opposite is true
Tukiachana na midege, SGR, roads, viwanda, mega projects like stiglierz na mengine kibao hili ni eneo Uhuru should attend classes from JPM
Nafikiri kwenye health sector Africa nzima iende Tanzania,
In only 2 years.... View attachment 1063042View attachment 1063043
Wapi kama hii Isiolo au unadhani Mtwara hawana project kama hizi?Kenya tunapanga kufikia lengo la Universal Health Care kama kule Scandinavian countries by 2022.... Yani kila ugonjwa uwe unatibiwa bure ikiwemo surgery, cancer...etc na ndan ya kila County kutakua na referal hospital yani level 5 hospital ambayo inaweza kutibu kila kitu bila haja ya mtu kusafiri nje yanch au kuenda mijii mikuu kama Mombasa au Nairobi..... Alafu ndani ya kila Sub county kutakua na Leve 4 na level 3 hospitals na kila ward itakua na angalau level 2 hospitals nne..
Ntakupatia Kakamega referal hospital inayojengwa kule western Kenya
View attachment 1063253
New 750 bed, 80 000 m2 tertiary hospital for the Kakamega County teaching and referral hospital comprising
of the following departments;
1. Radiotherapy – two linear accelerator, bunkers, brachy therapy and C.T.- scanner.
2. Medical Oncology – 12 treatment beds and dedicated pharmacy.
8. Martenity unit with 4 no. theaters.
9. Delivery unit : 4 delivery rooms.
10. Neonatal Department – 10 beds ICU and 30 beds high care ward.
11. Wards : 4 surgical-, 4 medical-, 3 pediatric-, obstetrics and gynecology wards.
12. Occupational therapy, physiotherapy and audiology. 13. Haemodialysis – 14 bed treatment.
14. Blood bank.
15. Hospital dispensary and bulk store.
16. Administration, including auditorium.
17. Support services including; CSSD, Bio-engineering, medical equipment processing,
central stores, kitchen, linen/laundry, mortuary, workshops and plant areas.
18. University areas including; lecture rooms, training areas, offices, library and
laboratories.
19. Great care was taken to attain LEED compliance, using double glazing, insulated walls, low
20.energy HVAC-systems, solar panels for hot water and steam production, rain water storage
21. For chillers and landscaping, recycling and safe medical waste disposal.
Phase one 450 bed ongoing...
Phase 1 during construction
Uhuru alipokua ana launch phase 1
Ukijiskia unaza kuangalia hii video ujionee
Ni wapi huko unapokaa?Afu ni mambo madogo ambayo nchi za kichovu ldc type ndo hushangilia,big boy countries hutosikia huko tulishapita siku nyingi sana
Huko we are doneKenya tunapanga kufikia lengo la Universal Health Care kama kule Scandinavian countries by 2022.... Yani kila ugonjwa uwe unatibiwa bure ikiwemo surgery, cancer...etc na ndan ya kila County kutakua na referal hospital yani level 5 hospital ambayo inaweza kutibu kila kitu bila haja ya mtu kusafiri nje yanch au kuenda mijii mikuu kama Mombasa au Nairobi..... Alafu ndani ya kila Sub county kutakua na Leve 4 na level 3 hospitals na kila ward itakua na angalau level 2 hospitals nne..
Ntakupatia Kakamega referal hospital inayojengwa kule western Kenya
View attachment 1063253
New 750 bed, 80 000 m2 tertiary hospital for the Kakamega County teaching and referral hospital comprising
of the following departments;
1. Radiotherapy – two linear accelerator, bunkers, brachy therapy and C.T.- scanner.
2. Medical Oncology – 12 treatment beds and dedicated pharmacy.
8. Martenity unit with 4 no. theaters.
9. Delivery unit : 4 delivery rooms.
10. Neonatal Department – 10 beds ICU and 30 beds high care ward.
11. Wards : 4 surgical-, 4 medical-, 3 pediatric-, obstetrics and gynecology wards.
12. Occupational therapy, physiotherapy and audiology. 13. Haemodialysis – 14 bed treatment.
14. Blood bank.
15. Hospital dispensary and bulk store.
16. Administration, including auditorium.
17. Support services including; CSSD, Bio-engineering, medical equipment processing,
central stores, kitchen, linen/laundry, mortuary, workshops and plant areas.
18. University areas including; lecture rooms, training areas, offices, library and
laboratories.
19. Great care was taken to attain LEED compliance, using double glazing, insulated walls, low
20.energy HVAC-systems, solar panels for hot water and steam production, rain water storage
21. For chillers and landscaping, recycling and safe medical waste disposal.
Phase one 450 bed ongoing...
Phase 1 during construction
Uhuru alipokua ana launch phase 1
Ukijiskia unaza kuangalia hii video ujionee
County kama Mombasa iko karibu kumaliza Ujenzi wa Level 4 hospitals zake kwa kila Sub-County,
The construction of Mtongwe and Shika Adabu Hospitals is progressing well. They are 2 of the 5 Ultra modern level 4 hospitals under construction by the County Government of Mombasa .The 30 bed capacity hospitals will be fully equipped with Radiology department, Ultra Sound, Theater, Laboratory and a Maternity Wing. The facilities will deliver quality healthcare service closer to the people of Likoni and also decongest Coast General Hospital.
Mrima hospital in Likoni Sub-County Mombasa
Ofcourse bado kuna changamoto tele, County zengine zinapewa hela za kujenga hospitali na badala yake wana paka rangi hospitali za zamani alafu wanakula hela, kuna county zengine zikiletewa CT-Scan, MRI na equipments zengin na serekali kuu zinajifanya kiburi na kukataa wanadai eti wapewe hizo pesa wajinunulie wenyeweilhali county hizo zinajulikana kwa kufuja pesa.......... Anyway, ki ufupi hatuna lolote la kujifunza kutoka kwenu, watu ambao tunajifunza kutoka kwa ni nchi kama Cuba
But wait...... Hivi zile laptops kwa kila mwanafunzi zilipoteleaga wapi?
Then the
opposite is true
Tukiachana na midege, SGR, roads, viwanda, mega projects like stiglierz na mengine kibao hili ni eneo Uhuru should attend classes from JPM
Nafikiri kwenye health sector Africa nzima iende Tanzania,
In only 2 years.... View attachment 1063042View attachment 1063043
We almost have doubled the existing facilities so the citizens will not have any reason to blame the mighty CCM, we deliver even bridges in the deserts all to satisfy our voters, huo umasikini unaousema walionao watanzania sio walionao wakenyaHii miaka yote what has CCM been doing kama si ufisadi na propaganda tupu!., this is shame, maendeleo haya in comparison to the ratio ya population is still way below threshold., ndio maana licha ya haya bado mpo ldc and poverty, and inadequate social services to the people.
Anyway it's a step in the right direction., though bado sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpm is nothing bro , uhuru is good presidaKeep exploring what revolutions JPM is making in the sector
To hell with your fallacies. You know nothing. Those grass houses scattered all over tz which are occupied by faeces consumers define poverty.We almost have doubled the existing facilities so the citizens will not have any reason to blame the mighty CCM, we deliver even bridges in the deserts all to satisfy our voters, huo umasikini unaousema walionao watanzania sio walionao wakenya
Masikini wa Tanzania is 100% certainty with his next 100 days meals while Kenya that person has 4 days without seeing anything to chew.
I never said this except Kenyans