kwa hapa wizara ya elimu sijawaelewa.

Van gaal

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
265
Reaction score
107
wizara ya elimu wametoa tangazo lao la kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada na cheti.

Ambapo sijaelewa ni kwa ngazi ya stashada. Hebu ona hapa chini


MAFUNZO MAALUM YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA KWA KIDATO CHA NNE MASOMO YA SAYANSI/ HISABATI NA ENGLISH: MUDA MIAKA 3 Ualimu wa masomo ya Sayansi/Hisabati na English katika vyuo vya Butimba, Morogoro, Korogwe, Songea na Mpwapwa
Mwombaji awe amehitimu: Kidato cha IV kati ya
mwaka 2004 na 2013
na awe na ufaulu wa
Daraja la Kwanza hadi
la Tatu, na Credit mbili
(yaani A, B+, B au C) katika masomo ya Sayansi, Hisabati na Kiingereza.

Ona pia na hapa;


MAFUNZO YA UALIMU TARAJALI STASHAHADA ELIMU YA MSINGI: MUDA MIAKA 3) Ualimu wa Stashahada ya Elimu ya Msingi katika chuo cha Vikindu

Mwombaji awe: Amehitimu Kidato cha
IV kati ya mwaka 2004
na 2013 wenye ufaulu
wa Daraja la I Daraja la
Tatu katika Mtihani
uliofanyika katika kikao kimoja.

Tanbihi: Kipaumbe
le
kitatolew
a kwa
waombaji
waliofaul u
masomo
ya ‘Mathe matics’, ‘Biology’, ‘Physics’, ‘Chemistr y’, ‘Agric ulture’, ‘Food and Nutrition’ , ‘English’ na Kiswahili na
wahitimu
wenye
mahitaji
maalumu.

Swali langu;
je mtu akipata hiyo diploma anaweza kufundisha sekondari na je kama akifundisha msingi atapata mshahara wa ngazi ya diploma?
 
naomba wadau wanisaidie maswali hayo juu kabla sijamruhusu mwanangu aka apply moja ya hizo kozi hapo juu.
 
naomba wadau wanisaidie maswali hayo juu kabla sijamruhusu mwanangu aka apply moja ya hizo kozi hapo juu.

jamani wadau mbna kwenye mada za ngono mnafakamia sana ila kwenye mambo muhimu mpo kimya.
 
Hayo mafunzo yametolewa kama fursa kwa waalimu wenye ngazi ya chet kupata fursa ya kujiendeleza badala ya kuhangaika kutafuta credit sasa wanaweza kutumia chet chao cha ualimu ngazi ya chet kupata diploma ya ualimu ngazi ya primary. Mshahara wao utakua sawa na diploma ya kawaida km sijakosea
 

na hilo ndo swali langu la msingi
 
midau ya jukwaa la elimu inakera sana. Sirudi tena humu.
 
Kuna thread niliweka asubuhi mpaka sasa sijaona mtu jukwaa hilihili,
 
Kuna thread niliweka asubuhi mpaka sasa sijaona mtu jukwaa hilihili,

jukwaa la kipuuzi kabisa. Sigusi tena huku. Ila weka mambo ya ngono ndo utajua humu jf kuna mazombi ya ngono. Ngono mbaya sana.
 
Ataanza na mshahara ngazi ya TGTS C = Laki 4 na thelasini na mbili.
 

mkuu tupo wenye MA education twafundisha darasa la tatu na la sita, mishahara ni ileile na daraja la 3A hakuna jipya, serikari inawenyewe ningekuma mtoto wa pinda au kikwete, ninge gombea ubunge ndio unalipa.
 
mkuu tupo wenye MA education twafundisha darasa la tatu na la sita, mishahara ni ileile na daraja la 3A hakuna jipya, serikari inawenyewe ningekuma mtoto wa pinda au kikwete, ninge gombea ubunge ndio unalipa.

duh! Kwahy mshahara unapewa kutokana na ngazi ya elimu unayopata au kutokana kitu unachosomea? Basi hakuna haja ya kusoma hiyo diploma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…