Kaona viclip kadhaa🤔😷
Aaah wp ni mwepesi sana.
Jiwe yuko wapi?
Maadam tu hai na hatamu za utawala mkononi,basi hacheki na wowote...mtachezea jando mpaka basi!!..waambieni vizabizabina wa kenya June 2 waje tena,waone mpingo ni mgumu kiasi ganiJiwe yuko wapi?
Hizi hasira angezipeleka Kwa mafisadi na viongozi wazembe aina ya mwigulu ningemuunga mkono
Shetani hajawahi kumshinda MunguMaadam tu hai na hatamu za utawala mkononi,basi hacheki na wowote...mtachezea jando mpaka basi!!..waambieni vizabizabina wa kenya June 2 waje tena,waone mpingo ni mgumu kiasi gani
Madaraka ya kulevya....