Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Katika mwezi Oktoba pekee mauzo ya gesi ya Urusi yamepanda kwa asilimia 1.1 kutoka 4.3 ya kabla yake.
Wateja wakubwa wa gesi ya Urusi ni mataifa ya Ulaya karibu yote. Katika kuiunga mkono Ukraine mataifa hayo isipokuwa Bulgaria yaliamua kutonunua gesi ya Urusi inayotiririka kwenye mtandao mpana wa mabomba na badala yake wakasema watanunua gesi ya mgando LNG ambayo husafirishwa kwa meli.
Sehemu kubwa ya gesi hiyo ni kutoka mataifa ya Algeria na Qattar. Hata hivyo Qattar iliwahi kusema haina gesi ya ziada kuuzia mataifa ya Ulaya na kuacha wateja wake wakubwa wa nchi za Asia.
Katika hali hiyo ya kupanda mauzo ya gesi ya Urusi wataalamu wanahisi gesi ya LNG ya Urusi ikiwa moja ya taifa linalosafirisha nje aina hiyo ya gesi ni kutokana na gesi hiyo kuingia Ulaya kwa njia tofauti na mabomba ya Nard str.1 &2 ambayo ama yamefungwa au yamebomolewa.