Kwa hawa Rappers wa Kike Bongo wewe mkali wako ni nani?

mkuwe mnamsikiliza chemical vzur flow yake kabla ya kumlinganisha na vitu vya ajab ajab!
 
Rosa Ree
Chemical
Stosh
Pinky
Tammy the Baddest
Cindy Rulz
Frida Amani
Chiku k

Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni
Mie Chemical
Rosa ni yuko fire ila Madawa ndio yanamzima
 
Tammy anajua ila Rosa Kiboko.. Chemical anaandika ila flow yake kawaida.

Rosa anatumia poda??????????
 
Huyu Rosa ree aka Atalanta aka Goddess aka Ladea anajitahidi alafu kaweza kukaa sokoni mda mrefu.
 
Rosa Ree
Chemical
Stosh
Pinky
Tammy the Baddest
Cindy Rulz
Frida Amani
Chiku k

Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni


Hakuna anayemkuta Frida Amani hapo hata kwa robo.
 
Mie Chemical
Rosa ni yuko fire ila Madawa ndio yanamzima
tuache kumpambanisha chemical kwa flow ile na rosa ree mswaki. au wengine flow ya chemical huwa mnamsikiliza mna wenge la kvant! anajuaaaaaaa jaman chemical. nice flow. unique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…