johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Selemani Jafo yupo busy na nyungu.Nimefuatilia ziara ya Naibu waziri Silinde wa Tamisemi na hasa mkoani Mtwara, kwa kweli madudu ni mengi sana....
Katiba inaundwa kwa misingi ya sheria. Sheria hairudi nyuma. Inaanzia pale ilipotungwa na katiba vivyo hivyo.Hiyo ni ndogo. Ngoja utakuja kuyasikia madudu ya jiwe siku akitoka.
Usishangae katiba ikaja kurekebishwa ili ashiuakiwe
Mbona bodi ya mkopo imerudi nyuma?Katiba inaundwa kwa misingi ya sheria. Sheria hairudi nyuma. Inaanzia pale ilipotungwa na katiba vivyo hivyo.
Kwahiyo wote ni wale wale?Bashwee hata akitoka Silinde akaja waziri/NW mwingine naye ataibua madudu ya silinde ,kila mtu akija anaona mwenzake alikuwa anakosea.
Yes mkuu ndio binadamu walivyo hata ukiwekwa wewe ukiondoka atakayekuja ataona ulikuwa unafanya madudu na atakayekuja mwingine ataona pia aliyekupokea kijiti ataona pia alikuwa anafanya madudu.Kwahiyo wote ni wale wale?