MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Chawa lazima watamtafsiri vibaya.
Sasa hii ni nini?Chawa lazima watamtafsiri vibaya na yule bibi lazima avimbe na kupasuka
View attachment 3561378
Kama hakwenda into hiding! Maana chawa na polisi akili zao mavi!Chawa lazima watamtafsiri vibaya na yule bibi lazima avimbe na kupasuka
View attachment 3561378
Sioni offending part hapa. Labda kama kuna mtu anadai haki ya kuwa mchawi.
Hela inatafutwa hapoJamaa anatafuta bifu bila sababu. Huyu amechanganyikiwa hayupo sawa kiakili na Kiroho.
Jamaa keshaanguka anatafuta pa kufia. Kwanini anamtaja Samia bila sababu yoyote ile.