Kwa haya mambo 2 natangaza rasmi kuunga mkono January Makamba kukamata kijiti kuongoza Tanzania kuanzia 2030

Mkuu, kama hajakutoa kakitu, huwajui wanasiasa.
 
Wewe ni hasara Kwa taifa hili
 
HOVYO SANA

HANA MAAJABU YOYOTE CHAWA ULIELETA HUU UZI FUTA HARAKA NA KAMA NI JANU MWENYEWE UNAJIFAGILIA UMECHEMKA HAKUNA ANAEKUTAKA KWA TAARIFA YAKO
 
Hivi walikuwa wapi wakati nchi ilipochagua kichaa mmoja akaongoza kampeni ya kukata mamilioni ya miti huko rufiji ili kufanya miradi iliyodublicate gas ya mtwara na lindi ya umeme!
Sasa hivi ni kilio na kusaga meno hakuna maji na umeme utakata Dar siku si nyingi!
 
Bado unaugulia maumivu ya cheti feki wewe siyo bure.
 
Mkuu

Hebu jitathmini mbona hata Wewe na Mimi tunafaa!?

Mbona tupo vizuri tu,si tunajua kusoma na kuandika!?

Halafu hatuna historia ya kufungwa gerezani kabisa!!

Mi nashauri tuchukue form ya urais kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…