NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
Kiukweli tunapokuwa tunajinasibu kuwa mpira wetu umekua, tujitahidi kuendana na maneno yetu kiuhalisia, kiukweli mazingira kama haya ya pre match meeting ni aibu na kushangaza TFF na bodi ya ligi msilikalie kimya, ni aibu.