NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
Aiseee...hii ni zaidi ya balaa...Kiukweli tunapokuwa tunajinasibu ,kuwa mpira wetu umekuwa.tujitahidi kuendana ,namaneno yetu ki uhalisia,kiukweli mazingira kama haya ya pre match meeting ni aibu ,na kushangaza ,tff na bodi ya ligi msilikalie kimya,ni aibu
View attachment 2179423
Aibu sana kiongozi, hata wachambuzi wa kimataifa wakiona kitu kama hii, watatushangaa sana kutokana na rank kwanza ambao ligi yetu hipo, lakini mambo yanaenda kienyeji enyeji tu.Aiseee...hii ni zaidi ya balaa...
Nchi ngumu sana hii
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio Ni vintage table,thamani yake Ni $3 mil.