Nyerere alikuwa anajua katiba haijakaa vizuri inampa madaraka makubwa raisi kiasi anaweza kuwa dictator lakini hakutaka kubadilisha katiba ambayo ingewapa madaraka wananchi ili raisi yoyote atakayeingia asiwe dictator.
Nyerere kwa kuiacha katiba ambayo yeye mwenyewe alijuwa ni ya kidictator, Nyerere alikuwa DICTATOR na alipenda udictator period (hana sifa za kuitwa baba wa taifa)
Nyerere alijuwa umuhimu wa elimu lakini hakupenda wasomi wawe wengi ndio maana haku invest sana kwenye elimu ya juu.
Hili linaelezwa na wengi kuwa wasomi wengi waliokuwepo wakati huo walikuwa wanamchallengi nyerere katika mitazamo na itikadi zake kama akina kambona.
Nyerere aliwaogopa wasomi kwa sababu tu ya kupenda madaraka na kutopenda mawazo tofauti na yake ndio maana wakati wake kulikuwa na usemi wa zidumu fikra zake.
Nyerere alijua kuwa ili nchi iendelee inahitaji kuwekeza kwenye elimu ili wasomi waje walete mapinduzi kwenye kilimo viwanda na sector nyingine kama madini lakini alijua riski ya kuwa na wasomi wengi wangemchallengi kwenye sera na utawala wake.
kwa hiyo alipopima maslahi yake against maslahi ya nchi, akaona afadhali alinde maslahi yake, na ndio maana alitawala miaka 23. yeye mwenyewe alisema madini yasichimbwe mpaka tutakapokuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe, mbona huo uwezo hakuujenga mpaka anaondoka.
alitegemea nani aje ajenge huo uwezo aweke mamlaka yake mashakani.
bottom line is this: Nyerere naye ni mbinafsi kama wengine ila watu wengi kwa sababu ya uelewa mdogo na kipimo kikubwa cha ubinafsi kinachojulikana na jamii ni kuhodhi mali, nyerere alifanikiwa kupenya kwenye chujio la ubinafsi kwa sababu ya kutojilimbikizia mali.
KUTOKUWA MBINAFSI NI ZAIDI YA KUTOJILIMBIKIZIA MALI, kujilimbikizia madaraka ya wewe kuteua mawaziri,wakuu wa majeshi,mikoa,wilaya,mashirika ya uma, nk ni ubinafisi mbaya kuliko wa mali.
Jana wenzetu kenya walikuwa wanawafanyia televised interview watu walioomba nafasi ya IGP na deputies wa polisi. hii ni level nyingine, IGP atakayepita hapa kwenye interview hawezi kumpigia simu eti kamuhanda awakatalie chadema kufanya mikutano. Yaani hadi natamani kuhamia kenya.