Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
1. Hakuna Rais aliyewekeza katika elimu ya juu zaidi ya Nyerere. Ni kweli, vyuo vikuu vilikuwa vichache, lakini ubora wa elimu ulikuwa ni wa juu sana. Nasikitika kuwa sasa kuna vyuo vikuu vingi vya "kata". Huwezi kulinganisha ubora wa elimu ya wakati wa Nyerere na na ya sasa. Zaidi ya yote alitengeneza ajira kwa ajili ya wahitimu wote. Kwenda Chuo Kikuu, wakati wa Nyerere na hata wakati wa Mwinyi (mpaka 1992), kulikuwa na hadhi yake.
2. Kuhusu katiba kumpa Rais madaraka makubwa: Katiba haikutungwa na Rais, na ndio maana aliwapinga waliopitisha katiba hiyo. Ilikuwa ni kazi ya bunge kutunga katiba nzuri na wala si Nyerere.
Huwezi kujenga katiba mpya nzuri kama hujaona makosa ya nyerere. Kosa lake katika kuweka katiba dhaifu na kipengere kisemacho Raisi asishitakiwe akimaliza muda limeleta madhara makali sana kwa watanzania. RIChmone, Rada< Mikataba mibovu haya ni mambo ambayo watu walifanya huku wakijua fika kuwa hawatapelekwa kokote mahakamaniKuna msemo mmoja huwa unasema kuwa, TUSIWASIMANGE NA KUWASEMA WALIOKWISHKUFA! RIP NYERERE
ndugu yangu ubarikiwe na mungu akulinde. Maana umeongea vizuri sana na umetoa neno hilo zuri wakati huu wa watanzania tunaandika katiba mpyaa.Kinachotakiwa ni sisi watanzania tujenge katiba mpya yenye nguvu kulikjo Raisi. haya aliyafanya George washington, David Ben Gurion na wafalme wengi wa Ulaya wakati huo wa mapinduzi ya viwanda. Kipengere cha raisi asishitakiwe akimaliza muda lazima kifutwe. Mahakama kuu na Bunge lazima viwe na madaraka sawa na Raisi. Na adhabu ya kifo kwa wezi wa mali ya umma lazima iwemo katiba mpya. Hapo ndipo patakuwa na maana ya kuwa wananchi wanamtawala raisi kikatiba na yeye ni mtekelezaji tuu wa matakwa yetu.Nyerere alikuwa anajua katiba haijakaa vizuri inampa madaraka makubwa raisi kiasi anaweza kuwa dictator lakini hakutaka kubadilisha katiba ambayo ingewapa madaraka wananchi ili raisi yoyote atakayeingia asiwe dictator. Nyerere kwa kuiacha katiba ambayo yeye mwenyewe alijuwa ni ya kidictator, Nyerere alikuwa DICTATOR na alipenda udictator period (hana sifa za kuitwa baba wa taifa)
Nyerere alijuwa umuhimu wa elimu lakini hakupenda wasomi wawe wengi ndio maana haku invest sana kwenye elimu ya juu. Hili linaelezwa na wengi kuwa wasomi wengi waliokuwepo wakati huo walikuwa wanamchallengi nyerere katika mitazamo na itikadi zake kama akina kambona. Nyerere aliwaogopa wasomi kwa sababu tu ya kupenda madaraka na kutopenda mawazo tofauti na yake ndio maana wakati wake kulikuwa na usemi wa zidumu fikra zake. Nyerere alijua kuwa ili nchi iendelee inahitaji kuwekeza kwenye elimu ili wasomi waje walete mapinduzi kwenye kilimo viwanda na sector nyingine kama madini lakini alijua riski ya kuwa na wasomi wengi wangemchallengi kwenye sera na utawala wake. kwa hiyo alipopima maslahi yake against maslahi ya nchi, akaona afadhali alinde maslahi yake, na ndio maana alitawala miaka 23. yeye mwenyewe alisema madini yasichimbwe mpaka tutakapokuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe, mbona huo uwezo hakuujenga mpaka anaondoka. alitegemea nani aje ajenge huo uwezo aweke mamlaka yake mashakani.
bottom line is this: Nyerere naye ni mbinafsi kama wengine ila watu wengi kwa sababu ya uelewa mdogo na kipimo kikubwa cha ubinafsi kinachojulikana na jamii ni kuhodhi mali, nyerere alifanikiwa kupenya kwenye chujio la ubinafsi kwa sababu ya kutojilimbikizia mali. KUTOKUWA MBINAFSI NI ZAIDI YA KUTOJILIMBIKIZIA MALI, kujilimbikizia madaraka ya wewe kuteua mawaziri,wakuu wa majeshi,mikoa,wilaya,mashirika ya uma, nk ni ubinafisi mbaya kuliko wa mali.
Jana wenzetu kenya walikuwa wanawafanyia televised interview watu walioomba nafasi ya IGP na deputies wa polisi. hii ni level nyingine, IGP atakayepita hapa kwenye interview hawezi kumpigia simu eti kamuhanda awakatalie chadema kufanya mikutano. Yaani hadi natamani kuhamia kenya.
Nyerere alijuwa umuhimu wa elimu lakini hakupenda wasomi wawe wengi ndio maana haku invest sana kwenye elimu ya juu.
....na ndio maana alitawala miaka 23. yeye mwenyewe alisema madini yasichimbwe mpaka tutakapokuwa na uwezo wa kuchimba.
...... Yaani hadi natamani kuhamia kenya.
Umemgusa mwanaheri watatokwa povu mbaya.Kadikteta kazamani
Just be straight, elimu madrasa!Ni ujinga tu ndio unaokusumbua, hata maana ya mtu kutangazwa kuwa mwenye heri huijui (na kwa "elimu" yako ya mahali fulani haitatokea uijue maana ulishajazwa ujinga kichwani).
ndugu yangu ninachokiona sana kwako na kinachokusababisha uwe na hoja hizo zisizo kua na msingi juu ya baba wa taifa ni kuwa msikilizaji sana wa radio imaan ya morogoro ambayo siku zote imekua ikiwa mislead wasikilizaji wake sana hasa kwa kueneza chuki juu ya mwalimu,amka kutoka gizani kijana watu wa darasa la pili wasikupeleke wanavyotaka wao kwa misimamo yao mibovunyerere alikuwa anajua katiba haijakaa vizuri inampa madaraka makubwa raisi kiasi anaweza kuwa dictator lakini hakutaka kubadilisha katiba ambayo ingewapa madaraka wananchi ili raisi yoyote atakayeingia asiwe dictator. Nyerere kwa kuiacha katiba ambayo yeye mwenyewe alijuwa ni ya kidictator, nyerere alikuwa dictator na alipenda udictator period (hana sifa za kuitwa baba wa taifa)
nyerere alijuwa umuhimu wa elimu lakini hakupenda wasomi wawe wengi ndio maana haku invest sana kwenye elimu ya juu. Hili linaelezwa na wengi kuwa wasomi wengi waliokuwepo wakati huo walikuwa wanamchallengi nyerere katika mitazamo na itikadi zake kama akina kambona. Nyerere aliwaogopa wasomi kwa sababu tu ya kupenda madaraka na kutopenda mawazo tofauti na yake ndio maana wakati wake kulikuwa na usemi wa zidumu fikra zake. Nyerere alijua kuwa ili nchi iendelee inahitaji kuwekeza kwenye elimu ili wasomi waje walete mapinduzi kwenye kilimo viwanda na sector nyingine kama madini lakini alijua riski ya kuwa na wasomi wengi wangemchallengi kwenye sera na utawala wake. Kwa hiyo alipopima maslahi yake against maslahi ya nchi, akaona afadhali alinde maslahi yake, na ndio maana alitawala miaka 23. Yeye mwenyewe alisema madini yasichimbwe mpaka tutakapokuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe, mbona huo uwezo hakuujenga mpaka anaondoka. Alitegemea nani aje ajenge huo uwezo aweke mamlaka yake mashakani.
Bottom line is this: Nyerere naye ni mbinafsi kama wengine ila watu wengi kwa sababu ya uelewa mdogo na kipimo kikubwa cha ubinafsi kinachojulikana na jamii ni kuhodhi mali, nyerere alifanikiwa kupenya kwenye chujio la ubinafsi kwa sababu ya kutojilimbikizia mali. Kutokuwa mbinafsi ni zaidi ya kutojilimbikizia mali, kujilimbikizia madaraka ya wewe kuteua mawaziri,wakuu wa majeshi,mikoa,wilaya,mashirika ya uma, nk ni ubinafisi mbaya kuliko wa mali.
Jana wenzetu kenya walikuwa wanawafanyia televised interview watu walioomba nafasi ya igp na deputies wa polisi. Hii ni level nyingine, igp atakayepita hapa kwenye interview hawezi kumpigia simu eti kamuhanda awakatalie chadema kufanya mikutano. Yaani hadi natamani kuhamia kenya.
ndugu yangu ubarikiwe na mungu akulinde. Maana umeongea vizuri sana na umetoa neno hilo zuri wakati huu wa watanzania tunaandika katiba mpyaa.Kinachotakiwa ni sisi watanzania tujenge katiba mpya yenye nguvu kulikjo Raisi. haya aliyafanya George washington, David Ben Gurion na wafalme wengi wa Ulaya wakati huo wa mapinduzi ya viwanda. Kipengere cha raisi asishitakiwe akimaliza muda lazima kifutwe. Mahakama kuu na Bunge lazima viwe na madaraka sawa na Raisi. Na adhabu ya kifo kwa wezi wa mali ya umma lazima iwemo katiba mpya. Hapo ndipo patakuwa na maana ya kuwa wananchi wanamtawala raisi kikatiba na yeye ni mtekelezaji tuu wa matakwa yetu.
nani aliutaka ujamaa hapa Tanzania na kukubali upuuuzi wa zimio la Arusha? Azimio la Musoma? sisi tulitaka bodi ya mikopo na siyo azimio la musoma.sisi hatukutaka mabepari wachukiwe na kunyanganywa mali zao, sisi tulitaka mabepari wawepo wengi sana ili unemployment rate ipungue. mbona sasa tunawalilia mabepari kuliko hata Kenya?
katiba mpya itakuw ina maana moja tuu, nayo ni kuwa tunapata uhuru kamili wanachi wa Tanznaia baada ya utumwa wa Ujamaa na kujitegemea kututawala vibaya sana sana tena sana.