Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongole kwako mkuu. Hoja maridhawa sana hii.Kungelikuwa na serikali tatu, taabu yote hii isingelitokea. Kwa haya sasa serikali tatu ni LAZIMA.
1. Zanzibar wawe na vyao,
2. Tanganyika tue na vyetu na
3. vya Muungano viainishwe!
Brother kinachoshikilia muungano kwasasa ni uzi mwembamba sana wa kipengele cha kisiasaKungelikuwa na serikali tatu, taabu yote hii isingelitokea. Kwa haya sasa serikali tatu ni LAZIMA.
1. Zanzibar wawe na vyao,
2. Tanganyika tue na vyetu na
3. vya Muungano viainishwe!