Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Dah inasikitisha sana sanaa
Leoo nimekumbuka mbali sana sana
Mwaka 2017. KUNA mzee MMOJA Arusha alimkatalia Binti yake kuolewa na mfanyabiashara MMOJA
Baadae Binti akapata mimba akaenda MAHAKAMAN akasema baba yake kampa mimba ana 67
Familia airlewe a Wala z
Mzee akabebwa akafunguliwa mashatka wakamfunga 30
WAPENDWA taasisi kadhaa xikaingilia kati zikafanya uhakiki WA mzee na maelezo yake
Ndugu wakamhoji sana mtoto una HAKIKA ndio alinibaka
Vipimo hospital vikaonyeshwa Binti alibakwa
BAADA ya Mwaka yule mzee akashinda rufaa akatoka
Aliporudi akamkuta mwanae ana mjukuuuu
Akaitwa NDUGU familia wakaita mbuzi na ngombe MMOJA wakamchinja..wakati wanachinja mwanamke alitonywa wahi ukamwombe msamaha babayako bahati mbaya msamaha hutoka kabla ya kuchinja
Baba alipomwona mwanae aliomba aondokee eneo lile NDUGU wakamtoa resi sana kwa viboko akakimbia
Kazi ikafanyika...ndani ya mwezi MMOJA mjukuu kaenda
Ndugu WA mwanaume wakaenda na ngombe kadhaa KUOMBA radhi na mtoto WA kike mzee anaendlea kusali tu hataki kuona sura ya mtu
Mtoto akiwa ANAKULA Bata na mfanya BIASHARA wakaenda club wakati WA kurudi wakapata ajali mbaya sana pale ngarinaro..
Mtoto WA kike akafa jamaa WAKAKATA miguu yote.............
Baba Akaombwa ahudhurie mazishi akaweka antenna kama kawaida
JAMAN Mungu fundi fundi kweli
Nini maana yake hii ya Dk MANDARI mkurugenzi kuandika ripoti mbili tofauti kesi ya muuwaji Hamisi
Hii n kumaanisha kumbe Hawa madk HATA kesi za KUBAKWA huwa wanahongwa pesa na kuandika ripoti mtuhumiwa amebakwa kumbe siooooo
HAKIKA hii DHAMBI haitaawaacha ma dk wote WA aina hii na walaaniwe milele na milele ktk maisha yaooo
Imagine unaandika mtu ana ugonjwa akili baadae unaandika n mzimaa we sio chizii??
Huyu angekutana na kesi ya KUBAKWA si anajaza dk 0 anapewa hongo watu wanaumia
Inahuzunisha sana serikali iwe na hospt MAALUM kukagua mambo ya ubakaji na wenye shida ya akili
Hii Hosp anayofanya huyu dk naiogopaa Tena na tenaaa
Dk kama huyu akipewa helà mpige sindano ya miezi sita ya sumu anakumiminia vizuri tu kama ak47
Ee Mungu TUSAIDIE
Poleni wahanga wote mliowekwa NDAN kwa ripoti feki za ma dk