Kwa haya yanayoendelea nchini unategemea kuna Katiba mpya?

Kwa haya yanayoendelea nchini unategemea kuna Katiba mpya?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya?

Bunge la chama kimoja liunde katiba?

Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae

Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni kupoteza muda tu wananchi wanahitaji katiba mpya wataepata lini?

Katiba hakuna waweke wazi watu wajue
 
Kuwaongoza mambumbumbu ni rahisi sana, hauhitaji akili nyingi

Kashindwa kuibadilisha baba wa taifa nan? Mwingine ataweza
 
Hapa vijana wajipange tu kuichukua nchi kwa nguvu ifikapo 2030. Wakipojikwaa wanapafahamu! Marafiki na maadui wao wanawafahamu! 2030 wasirudi nyuma kwenye mapambano.
 
Back
Top Bottom