Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko.
Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa wengi ni dhahiri kamwe hawawezi kupingana na boss wao! Hivyo ni kama swala hili limeshapitishwa! Kwa kuwa inajulikana hakuna chawa atakayethubutu kumpinga boss! Hata boss akiazimia kuuza ardhi yote ya Tanzania chawa wataunga mkono. Hakuna atakayethubutu kupinga! Nasisitiza hakuna atakayepinga ili kulinda ugali wao!.Sasa ukiwa kama kiongozi unapaswa ulitambue hili.
Ni dhahiri kwa zama hizi hauwezi kupotosha umma wa watanzania na wananchi wakabaki wanatazama pasipo kuchukua hatua.Kwa hali hii na kwa yale yanayoendelea katika mpango huu wa kuikabidhi bandari kwa kampuni ya DP World kutoka Dubai ni wazi kwamba una kila harufu ya rushwa.
Kwanza kabisa mchakato wa kumpata mzabuni ulifanyika lini? Wapi? Ina maana serikali imeshindwa kabisa kusimamia bandari zake mpaka kuwakabidhi waarabu? Hii ni ishara kwamba baada ya miaka 60 ya uhuru CCM haijafanya jambo lolote na inapaswa kuwajibika!