Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

Uwanja wa taifa nao unahitajika kukodoshwa ule, maana naona unazidi kuchakaa huku uendeshaji ukiwa mbovu na kuupotezea sifa.
Watanzania hawa wasioweza kuendesha hata uwanja wa taifa ndiyo mnatarajia waendeshe bandari?
Subiri siku mkitawaliwa na Waarabu akili zitarudi tu.Tukiwaambia kuwa CCM ni janga mnasema sisi ni mawakala wa Mabeberu(yaani Wazungu) kumbe lengo lenu ni kuuza nchi kwa Waarabu.
 
Back
Top Bottom