Kwa haya yanayomkuta Ole Sabaya, ni dhahiri akimalizana salama na TAKUKURU atachukua kadi na kujiunga CHADEMA!

Kwa haya yanayomkuta Ole Sabaya, ni dhahiri akimalizana salama na TAKUKURU atachukua kadi na kujiunga CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.

Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha

Kazi Iendelee
 
Chadema ni imani, wote walikosa tumaini walipata pumziko la amani Chadema, japo walirudi kwenye uchafu wao hatukuwahi kujutia kumsaidia mtu. Tunamkaribisha
 
Kama chadema watafanya hivyo basi kitakuwa chama hovyo kuliko vyote tangu kuumbwa kwa Tanganyika hii
 
Chadema ipi ya kumpokea mjinga mjinga kama sabaya? Labda chadema ya chato
 
Hatuhitaji majambazi. Abaki huko huko kwenye chama cha majambazi.
 
Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.

Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha

Kazi Iendelee!
Hata wewe ukija joni tutakupokea.bora uje nauiamini itikadi yetu.
 
CHADEMA tupokeeni wote ila hilo Jambazi hapana.
ufdup.png
 
Utasikia Sabaya ni mtu mwema na mwanasiasa kijana mwenye ushawishi na juhudi. Tatizo lilikuwa ni MFUMO🤣
 
Mimi bado naamini ni maigizo tu, mtu wao yule sidhani kama watamfanya chochote, ingawa hii sinema imewatuliza wale vijamaa wawili chala na mwenzie h
aliaagizwa kubaka? acheni hizo
 
Back
Top Bottom