johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda aende kwa Zitto. Bifu lake na mbowe ni kama la Tom na jerry haliwez kuisha
Bwashee kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu!Labda aende kwa Zitto. Bifu lake na mbowe ni kama la Tom na jerry haliwez kuisha
Mzee baba sio kwa mbowe na sabaya.Bwashee kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu!
Kama inavyoendelea kukula weweKarma itakula kichwa!.
P
Mimi bado naamini ni maigizo tu, mtu wao yule sidhani kama watamfanya chochote, ingawa hii sinema imewatuliza wale vijamaa wawili chala na mwenzie hepiKarma itakula kichwa!.
P
Hata wewe ukija joni tutakupokea.bora uje nauiamini itikadi yetu.Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.
Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha
Kazi Iendelee!
CHADEMA haipokei majambazi.Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema...
aliaagizwa kubaka? acheni hizoMimi bado naamini ni maigizo tu, mtu wao yule sidhani kama watamfanya chochote, ingawa hii sinema imewatuliza wale vijamaa wawili chala na mwenzie h