Kwanza ni upumbavu kuweka makada katika serikali, ndiyo maana hatuwezi kupata mabadiliko ya MFUMO.Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.
Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha
Kazi Iendelee!
Huyo shetani ni wenu huko huko.Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.
Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha
Kazi Iendelee!
Na mbowe atampokea tena na kumpa wadhifa mkubwa ndani ya chama.Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.
Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha
Kazi Iendelee!
Umemsahau nyalanduNi kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.
Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha
Kazi Iendelee!
Sijui wawazungumzia akina nani?Bwashee kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu!