Kwa Hayati Magufuli hela anazotumia Tundu Lissu kuzurura zingetumika kujenga zahanati nchi nzima

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.

Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.

Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
 
Na hizi zilitosha kujenga SGR lakini zimeishia kwenye offshore accounts za wapambe wa Magufuli

JamiiForums1190257988.jpg
img_3_1680413385526.jpg
 
Magufuli alikuwa akizunguka na msafara mkubwa, kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kuongoza nchi hii, helcopter zimejaa angani, magari yamejaa ardhini, ziara moja ya magufuli, ilitosha kabisa kukidhi gharama za nyongeza ya mishahara, kwa wafanyakazi wa kada mbalimbali.
 
Lakini miradi ilionekana
 
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata ,wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga. Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia ,hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini!!
Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
Poyoyo
 
Wewe litunge na misukule wenzako kubalini tu dictator hatorudi Tena mbona mnahangaika sana???
Inavyoonekana jamaa aliwaahidi kitu na ameondoka bila kukitekeleza. Khaa! Kila siku mara Magufuli hivi!..
Mara Magufuli vile!...

Kamfukueni basi!!
 
Athari zake hazitaisha leo..!! Na hao waliosoma kwenye mazingira yale, athari zake zitaingia kitaa..!! HIVI HUWA HAMUWAZI MBALI ZAIDI YA PUA ZENU..!!??
Karibu kuzindua ikulu mpya ya Chamwino iliyojengwa na Magufuli tarehe 20/5/2023
 
Back
Top Bottom