Kwa Hayati Magufuli hela anazotumia Tundu Lissu kuzurura zingetumika kujenga zahanati nchi nzima

Magufuli katuingiza kwenye deni Kubwa la Taifa haijawahi tokea.Fedha zote za kodi muda huu zinaenda kulipia SGR na JULIUS NYERER. Miradi ambayo hairejeshi fedha kwa haraka na sio leo itaaanza kazi.
 
Pesa ya chama ijenge zahanati? Hao ccm wanaochukua ruzuku ya mabilioni wamejenga zahanati ngapi? Kama tu ruzuku haiwatoshi hadi wanaiba fedha za miradi ya maendeleo kama ripoti ya CAG inavyosema
 
Pesa ya chama ijenge zahanati? Hao ccm wanaochukua ruzuku ya mabilioni wamejenga zahanati ngapi? Kama tu ruzuku haiwatoshi hadi wanaiba hadi fedha za miradi ya maendeleo kama ripoti ya CAG inavyosema
Hujaelewa mada, rudia kusoma
 
wezi msio na akili mkajifichia kwenye kichaka cha Pre bargain,
 

Mkuu ni kweli ulikuwa haujui magufuli alikuwa anatoa wapi pesa? Really? Like seriously??

-Umesahau watu wa Beurre de change walivyporwa fedha nchi nzima?
-Umesahau 1.5T zilizopigwa kwenye report ya CAG?
-Umesahau wafanyabiashara walivyoporwa pesa zao na Kikosi kazi?
-Umesahau ma Tycoon walivyofriziwa accounts zao?
-Umesahau Deni la taifa liliongezeka mara mbili kwenye awamu ya JIWE?
-Umesahau plea bargain walivyokwiba pesa?
-Umesahau mashirika ya umma yalikuwa yanaenda kukopa fedha na kumpa JIWE wakisema ni dividend?
 

Grow up mama/kaka/dada/bibi/babu nyuzi zako nyingi zinaboa kwelikweli yani!
 
Uliishia darasa la ngapi wewe?
Jana chongolo alisemaje?
Kwani sasa hivi miradi haijengwi?
Ccm waipe pesa chadema kwa sababu gani?
Mama samia anajenga miradi mingi tu bila hata kuua wala kuteka watu.
Wewe endelea kuhubiri chuki na matusi wenzio twasonga mbele
Bila kutishana wala kuuana
 
Wewe litunge na misukule wenzako kubalini tu dictator hatorudi Tena mbona mnahangaika sana???
Inavyoonekana jamaa aliwaahidi kitu na ameondoka bila kukitekeleza. Khaa! Kila siku mara Magufuli hivi!..
Mara Magufuli vile!...

Kamfukueni basi!!
Yaani hadi kero
 
Waliouawa na kutekwa ni kina nani na ni nani aliwaua na kuwateka ushahidi please
 
Daah! Legacy ya misukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…