Kwa Hayati Magufuli hela anazotumia Tundu Lissu kuzurura zingetumika kujenga zahanati nchi nzima

Usisahau zile zinazotuumika kuprint mabango ya Samia
 
Na usisahau hela aliyo nunua wapinzanj na kuiba kura ingegumika kuajiri watanzania wengi tu wahitimu wasio na ajira serikalini
 
Kwa hiyo Mama Samia ametoa rushwa ya mabilioni kwa maelezo yako, akili yako ndogo.
 
"Domokrasiaaa"
 
Siyo hilo tu, huenda hata sisi Netizens ambao ni JF members na sisi kwa mara nyingine tena, ndugu zetu wa Kenya wangekuwa wana tu host kwenye platforms zao kama Wakimbizi baada ya JF kufungwa.
 
Na alizoficha jiwe?
 
Kweli kabisa
 
Alizificha yule dikteta uchwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…