Pre GE2025 Kwa hekima na busara alizonazo Rais Mstaafu Kikwete tumuombee ndo kiongozi anaweza kushirikiana na Rais Samia kukabidhi nchi kwa upinzani wakishinda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Baada ya CHADEMA kurudisha chama kwenye Mifumo badala ya MTU mmoja , ni ishara tosha kwamba kinaweza kuongoza nchi.

Endapo kitaendelea kuimarisha Mifumo yake yote bila kumtegemea MTU mmoja ni wazi kwamba kete ya Ushindi inakuwa upande wao

KUTOKANa na misingi na Mifumo iliyojengwa na chama tawala hatakuwa Rais kukabidhiwa Ushindi endapo kikishinda.

Kitakachotokea wananchi wengi wataamka kutaka kuleta vurugu kudai Ushindi wao Kama ilivyokuwa kwa wabunge enzi za kikwete.

Mfano Lema wenje enzi za kikwete walikuwa waporwe Ushindi Mchana kweupe wananchi wakaonyesha nguvu ya Umma amiri jeshi akalegeza.

Hii ni tafauti na viongozi wengine wako Tayari Damu zimwagike wapore ushindi
 
Kwa aliyomfanyia.swahiba wake mzee lowasa sidhani kama anaweza akawa na.tumaini hilo unalolisema.
 
Sidhani,

Ungesema Abdi na Ritz wanafanana, ningejaribu kuelewa!
 
Hizi ni nyuzi za kuwavuta wapinzani washiriki uchaguzi kwa tume hii na katiba hii hii halafu muanze sarakasi za wamekosea kujaza fomu.

UPINZANI wakishiriki huu uchaguzi wakapimwe akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…