Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Baada ya CHADEMA kurudisha chama kwenye Mifumo badala ya MTU mmoja , ni ishara tosha kwamba kinaweza kuongoza nchi.
Endapo kitaendelea kuimarisha Mifumo yake yote bila kumtegemea MTU mmoja ni wazi kwamba kete ya Ushindi inakuwa upande wao
KUTOKANa na misingi na Mifumo iliyojengwa na chama tawala hatakuwa Rais kukabidhiwa Ushindi endapo kikishinda.
Kitakachotokea wananchi wengi wataamka kutaka kuleta vurugu kudai Ushindi wao Kama ilivyokuwa kwa wabunge enzi za kikwete.
Mfano Lema wenje enzi za kikwete walikuwa waporwe Ushindi Mchana kweupe wananchi wakaonyesha nguvu ya Umma amiri jeshi akalegeza.
Hii ni tafauti na viongozi wengine wako Tayari Damu zimwagike wapore ushindi