Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wanazifuta kabisaLabda huwa wanaziunganisha na thread zingine similar
Baby na wewe umenichoka [emoji24][emoji24]Wamekuchoka!
Tumekuchoka!
Bora uende
Tutashukuru Mungu kwa jambo hilo
Njoo uchukue iPhone 7Naaam! 100%
[emoji2]Wamekuchoka!
Tumekuchoka!
Bora uende
Tutashukuru Mungu kwa jambo hilo
mkuu, baada ya ku-log in, click kwenye ID yako halafu ingia kwenye link imeandikwa "Your Content" utazikuta thread zako zote humo!Wanazifuta kabisa
Kama wangekuwa wanaziunganisha ningeona kwenye upande wa replies
safi sana.. unaonaje ukaja kwangu..? hautachoka kamwe kwako itakuwa raha tu no shida no wida,no niga no gizaNaaam! 100%
[emoji2]
What is serious thread when you are only a contributor to an existing thread so joining them makes plenty of sense to reduce multiplicities of similar threads and ease readership from rummaging sesame threadsNimechoka na mateso ya humu
Kila nikiandika serious thread wanazifuta ila nikiandika thread za mizaha zinabaki
Nimechokaa na hii tabia bora niwaachie mtandao wenu
Kwa herini
ahahh hapana aisee atokomee kabisa na ile id yake nyingine si anazo mbiliTeh shoga au wewe unamhitaji bado huyu jamaa?