Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani na hii ingetiwa kufuli milele. Hakuna adabu haka Ka Toto Ka shule ya msingi.Ile ina ban ya mwaka hadi mwakaniii ndiyo itatoka kifungoni
Natamani na hii ingetiwa kufuli milele. Hakuna adabu haka Ka Toto Ka shule ya msingi.
Hivi kwann jf wasiweke vikwazo kwa under18 wasiingie humu jamanii.
Wagombanao ndio wapendanaoTeh! Na hakana adabu kweli haka kajamaa, dawa yake ni kukafutia thread zake na ban za hapa na pale mpaka kakinai jukwaa
Wagombanao ndio wapendanao
Kwa nini?Safari njema.
Uuuuuuuuu bora hata jf imekuwa na hewa.
Acha uongoKm mm nakuchukia mfano sipati
Acha uongo
Kabla sijaondoka niliamua niwaite wapenzi wangu wote ikiwemo wewe rubii lakini mbona hujaja.Kheee! mbona tangu jana umeaga lakini huondoki??
PoleYaani hata mm nmekuchoka
Kwa sababu unamaliza hewaKwa nini?
JF muda mwingine inaboa
the listMsalimie the list.