Kwa heri Jamii Forums nimechoka na mateso mnayonipa

Kwa heri Jamii Forums nimechoka na mateso mnayonipa

Hujaondoka tu bado eenh

Red red wine...hiyo inaongea....



Songo hilo linakufaa kukuondoa humu jf.. au tukupe mapambio haleluya tunaonana... tutaonana mbinguni kwa Baba haleluya tutaonana...

au Parapanda litalia parapanda....
 
Back
Top Bottom