Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
ahahh hapana aisee atokomee kabisa na ile id yake nyingine si anazo mbili
nilikua sijui kama ina ban ya mwaka pole yake na hii akizingua mwaka itamuhusu piaIle ina ban ya mwaka hadi mwakaniii ndiyo itatoka kifungoni
Imebidi ni zoom hiyo avatar yako.... Kazi kweli..!!Labda huwa wanaziunganisha na thread zingine similar
Haaaaa Haaaaa Kwa nini umeizoom mkuu unaiogopa auImebidi ni zoom hiyo avatar yako.... Kazi kweli..!!
Nilitaka kujiridhisha na nilichodhani nimekiona mwanzo..... Kumbe ndicho...Haaaaa Haaaaa Kwa nini umeizoom mkuu unaiogopa au
Masikini weeee,wenzie tumeshakuwa sugu Tunakomaa nao tuuuuuNimechoka na mateso ya humu
Kila nikiandika serious thread wanazifuta ila nikiandika thread za mizaha zinabaki
Nimechokaa na hii tabia bora niwaachie mtandao wenu
Kwa herini
Nataka nikupe wewe poozo la moyo wanguHa ha a mpelekee mtoto Chimpa...
Halafu rubii umeifunga PM yakoTeh shoga au wewe unamhitaji bado huyu jamaa?
Bado upo tu!?Nimechoka na mateso ya humu
Kila nikiandika serious thread wanazifuta ila nikiandika thread za mizaha zinabaki
Nimechokaa na hii tabia bora niwaachie mtandao wenu
Kwa herini
Nikajua ndio bye bye kumbe bado upo... huku huwezi tokaWanazifuta kabisa
Kama wangekuwa wanaziunganisha ningeona kwenye upande wa replies