Kwa heri jukwaa la mapenzi.

Kwa heri jukwaa la mapenzi.

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Mackenzie%20saying%20goodbye%20to%20Sam.jpg

KILA LA KHERI HADI HAPO MOLA AKIPENDA.

NAWAPENDA WOTE WANAJUKWAA.
:
 
Mwa tabutupu kulikoniii?? karibu kule kwa wakubwa umri unakuruhusu :sick::sick:
 
Tabutupu, Mbona hivi, uwe unaaga vizuri basi,unakwenda likizo BAN, unahama jukwaa, unaenda wapi.........? Anyway nitakumiss!!
 
Mie bado najifunza unakwenda wapi? kuna sheria humu ukiondoka lazima uage? Nauliza tu sababu mie mgeni sijajua nisije kosea ikawa taabu kwa wote humu. samahani kama naulia maswali mabaya
 
Mwa tabutupu kulikoniii?? karibu kule kwa wakubwa umri unakuruhusu :sick::sick:

samahani, huko hapana, nitapigwa ban hata kabla sijawa mwenyeji. labda nidokeze sheria za huko.
 
Tabutupu, Mbona hivi, uwe unaaga vizuri basi,unakwenda likizo BAN, unahama jukwaa, unaenda wapi.........? Anyway nitakumiss!!

Kila jambo lina wakati wake, lakini nami nitakumiso sana .
 
Kila jambo lina wakati wake, lakini nami nitakumiso sana .

Ndio Tabutupu sasa usiuseme waenda wapi, lakini afadhali hata umeaga manake ningeeza kukutafuta kama ninavyomtafuta na niliu.......
 
Back
Top Bottom