JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
Yanga Yetu au Yanga Yake?Huyo mtoto wa mkubwa ndiye aliyepigania mpaka Manji akawa mdhamini wa Yanga.
Hizo ni dhanio lako tu ndg lisilo na uhakika.manji akiondoka yanga imekufa
Kupambana na Yanga nafikiri watawala wananapoteza zaidi sema hakuna TUME HURU, salama yaoSana!Jamaa jembe.Sema ndo hivyo tena fitina zinamwonea kijana wa watu.Lkn,pale jangwani hawezi kusahaulika kamwe!Na km kuna adui namba moja wa wana wananchi wa pale jangwani,ni huyo mpenda SIFA mkuu wa Dar.
Atayajulia wapi mbumbumbu huyu, mtu kashiba udaga wake anakuja kuharisha eti kwaheri manjiHuyo mtoto wa mkubwa ndiye aliyepigania mpaka Manji akawa mdhamini wa Yanga.
Mda huwa ni hakimu ndg.uongo njoo utamu kolea
Siutambui hata huo udaga ndg.Kingine,tumia kichwa pindi ujibupo jambo.Atayajulia wapi mbumbumbu huyu, mtu kashiba udaga wake anakuja kuharisha eti kwaheri manji
Hakika itakigharimu sana chama!YANGA ni taasisi kubwa ktk nchi hisi.Ni kura ya TURUFU.Kupambana na Yanga nafikiri watawala wananapoteza zaidi sema hakuna TUME HURU, salama yao
Pamoja na yote jamaa ameisaidia sana klabu.kama ni kweli basi poa
Je maneno mengi ni mtaji ?! Au hasara?!Yanga wana nini cha kugombania? Watanzania maneno meeeengi,
Watakucheka watu ndg!Yanga wana nini cha kugombania? Watanzania maneno meeeengi,
Yeye ni tambala la deki tu.Umesahau kuwa ni mfunga gidamu?!hee! basi hawana nia nzuri na wakimataifa ,kwani huyo wa mkoa mbona nishabiki wa simba? wanataka wakimataifa wapotee? hii ni habari ya kuhuzunisha mno kwa wakimataifa tuache unafiki manji kawasadia sana yanga aisee.
Watumikao,hujidhalilisha.wale jamaa wa uhamiaji nimewaona hawana akili yaani bure kabisaaa manji ni mwemyekiti wa quality geoups sio ceo so hahusiki na hao wafanyakazi walipaswa wawabane ceo na hr wa kampuni husika mbona dangote walikutwa 126 hivi kuna mahali walisema wanamuhitaji dangote?