Kwa heri Manji Yanga, karibu GSM Yanga

Kwa heri Manji Yanga, karibu GSM Yanga

Sana!Jamaa jembe.Sema ndo hivyo tena fitina zinamwonea kijana wa watu.Lkn,pale jangwani hawezi kusahaulika kamwe!Na km kuna adui namba moja wa wana wananchi wa pale jangwani,ni huyo mpenda SIFA mkuu wa Dar.
Kupambana na Yanga nafikiri watawala wananapoteza zaidi sema hakuna TUME HURU, salama yao
 
Riziki moja alijaribu kumweka David Mosha akakwama,akajitahidi kupinga Manji asiongezewe muda,akakwama,now katumia ganda la ndizi la madereva!!
 
hee! basi hawana nia nzuri na wakimataifa ,kwani huyo wa mkoa mbona nishabiki wa simba? wanataka wakimataifa wapotee? hii ni habari ya kuhuzunisha mno kwa wakimataifa tuache unafiki manji kawasadia sana yanga aisee.
 
wale jamaa wa uhamiaji nimewaona hawana akili yaani bure kabisaaa manji ni mwemyekiti wa quality geoups sio ceo so hahusiki na hao wafanyakazi walipaswa wawabane ceo na hr wa kampuni husika mbona dangote walikutwa 126 hivi kuna mahali walisema wanamuhitaji dangote?
 
Yeye ni tambala la deki tu.Umesahau kuwa ni mfunga gidamu?!
 
wale jamaa wa uhamiaji nimewaona hawana akili yaani bure kabisaaa manji ni mwemyekiti wa quality geoups sio ceo so hahusiki na hao wafanyakazi walipaswa wawabane ceo na hr wa kampuni husika mbona dangote walikutwa 126 hivi kuna mahali walisema wanamuhitaji dangote?
Watumikao,hujidhalilisha.
 
Back
Top Bottom