Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
- Thread starter
-
- #41
Ww akili mingi!Riziki moja alijaribu kumweka David Mosha akakwama,akajitahidi kupinga Manji asiongezewe muda,akakwama,now katumia ganda la ndizi la madereva!!
PleaseGSM ndio nini msaada please
Hahahaha!Please
hauna indicators au source, au kishawishiMda huwa ni hakimu ndg.
Tatizo hao wanywa viroba wa ufipa huwa wanaunganisha dot kwa hisia tu hata kwenye mambo yasiyo na tija.hauna indicators au source, au kishawishi
umewaza umeandika, plz narrate ur story
Unayo Hakika ipi kwamba mm ni Chadema?Haupo sawa sawa!Tatizo hao wanywa viroba wa ufipa huwa wanaunganisha dot kwa hisia tu hata kwenye mambo yasiyo na tija.
Yanga **** nini mpaka watu wakaigombanie... Yanga imemtajirisha vipi manji hadi wafanyabiashara wenzie wamtolee macho hivo? Au ndo kutaka kututoa kwenye hoja ya msingi ya kupapambana na wauza unga?
Zile dharau za kuitisha press conference na kutoa maneno ya kejeli kwa serikali(makonda) wanategemea serikali yoyote makini ingemnyamazia?
Unaambiwa njoo ijumaa, we kimbelembele unaenda alhamisi na mbwembwe kibao eti una wanasheria 8 wengine kutoka uingereza!!! Mpuuzi mkubwa... Watu wengine wamekua matajiri kwasababu walivikuta ila vichwani ni hopeless kabisa...
Maandishi yanazungumza kuliko mdomo... Acheni upuuzi Wa kuwa mnaleta story za vijiweni huku jf.. Muda mnaopoteza kuandika upuuzi kama huu ni heli ungejikita kwenye mambo yenye Tija kwako, familia na Taifa kwa ujumla.Unayo Hakika ipi kwamba mm ni Chadema?Haupo sawa sawa!
Ktk andiko langu papo pahali nimeandikia jambo lolote lihusulo vyama!Maandishi yanazungumza kuliko mdomo... Acheni upuuzi Wa kuwa mnaleta story za vijiweni huku jf.. Muda mnaopoteza kuandika upuuzi kama huu ni heli ungejikita kwenye mambo yenye Tija kwako, familia na Taifa kwa ujumla.
Kama simba ilivyokufa?makapuni kibao yanaitaka Yanga... Mwaka huu inachukua klabu bingwa Afrika.manji akiondoka yanga imekufa