Kwa heri Manji Yanga, karibu GSM Yanga

Kwa heri Manji Yanga, karibu GSM Yanga

hauna indicators au source, au kishawishi

umewaza umeandika, plz narrate ur story
Tatizo hao wanywa viroba wa ufipa huwa wanaunganisha dot kwa hisia tu hata kwenye mambo yasiyo na tija.

Yanga **** nini mpaka watu wakaigombanie... Yanga imemtajirisha vipi manji hadi wafanyabiashara wenzie wamtolee macho hivo? Au ndo kutaka kututoa kwenye hoja ya msingi ya kupapambana na wauza unga?

Zile dharau za kuitisha press conference na kutoa maneno ya kejeli kwa serikali(makonda) wanategemea serikali yoyote makini ingemnyamazia?

Unaambiwa njoo ijumaa, we kimbelembele unaenda alhamisi na mbwembwe kibao eti una wanasheria 8 wengine kutoka uingereza!!! Mpuuzi mkubwa... Watu wengine wamekua matajiri kwasababu walivikuta ila vichwani ni hopeless kabisa...
 
Unayo Hakika ipi kwamba mm ni Chadema?Haupo sawa sawa!
 
Maandishi yanazungumza kuliko mdomo... Acheni upuuzi Wa kuwa mnaleta story za vijiweni huku jf.. Muda mnaopoteza kuandika upuuzi kama huu ni heli ungejikita kwenye mambo yenye Tija kwako, familia na Taifa kwa ujumla.
 
Ktk andiko langu papo pahali nimeandikia jambo lolote lihusulo vyama!
 
Back
Top Bottom