Tetesi: Kwa HESHIMA ya mama yake Trump ataapa kwa kutumia Biblia MBILI

Tetesi: Kwa HESHIMA ya mama yake Trump ataapa kwa kutumia Biblia MBILI

Eeeh baba trump njoo huku African kuna mgbE, m7 hawataki hta kuondoka. Njoo trump
 
Sherehe zitaanza saa 10;30 jioni saa zetu. Na ataapishwa saa 2 usiku. Kama sikosei.
Kabla ya hapo watahudhuria IBADA pamoja na makamu wake na wengine katika kanisa la Episcopal karibu tu na Ikulu ya Marekani.
Kabla ya kwenda uwanjani kwa ajili ya sherehe. Sherehe zitaendelea mpaka ASUBUHI kwa saa zetu kama sikose!
Hivyo una muda wa kutosha!
Unajua ratiba yote hii mkuu, lakini hujui jioni familia yako itakula nini ndugu!!!
Watanzania tubadilike wallahi.
 
Unajua ratiba yote hii mkuu, lakini hujui jioni familia yako itakula nini ndugu!!!
Watanzania tubadilike wallahi.
Ninabahatisha tu mkuu. Siyo kwamba ninajua. Nitanunua ka nyama hivi nile na wali. Kesho itajijua yenyewe.
Ama unaonaje mkuu
 
Ninabahatisha tu mkuu. Siyo kwamba ninajua. Nitanunua ka nyama hivi nile na wali. Kesho itajijua yenyewe.
Ama unaonaje mkuu
Tehe tehe...safi sana mkuu. Tunaishi kiuhalisia sasa, sio mambo ya kwenda uhindini kula chips sekela..haha.
 
Back
Top Bottom