Tetesi: Kwa HESHIMA ya mama yake Trump ataapa kwa kutumia Biblia MBILI

Eeeh baba trump njoo huku African kuna mgbE, m7 hawataki hta kuondoka. Njoo trump
 
Unajua ratiba yote hii mkuu, lakini hujui jioni familia yako itakula nini ndugu!!!
Watanzania tubadilike wallahi.
 
Unajua ratiba yote hii mkuu, lakini hujui jioni familia yako itakula nini ndugu!!!
Watanzania tubadilike wallahi.
Ninabahatisha tu mkuu. Siyo kwamba ninajua. Nitanunua ka nyama hivi nile na wali. Kesho itajijua yenyewe.
Ama unaonaje mkuu
 
Ninabahatisha tu mkuu. Siyo kwamba ninajua. Nitanunua ka nyama hivi nile na wali. Kesho itajijua yenyewe.
Ama unaonaje mkuu
Tehe tehe...safi sana mkuu. Tunaishi kiuhalisia sasa, sio mambo ya kwenda uhindini kula chips sekela..haha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…