Kwa heshima ya nchi naona Al Ahly imekubali OMBI

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi.

Hivyo itakuwa tayari mkakati wa kuiomba Al Ahly umeshafanyika kukubali kuachia .

Simba leo tule raha zetu mwanzo mwisho.

Sema game ya marudiano ndio tutashindana kwa haki.
 
Weka mke,watoto,wakwe na beki tatu kwa Simba ili kesho tuamkie Liquid ,Dhiz izi Simba bhana,
 
Hivi hizi akili za favouritism watanzania tulizipata wapi yani ukuongea na mtu kidogo utasikia Nina mtu TAMISEMI atakusaidia oh ninamtu usalama oh mama aliwaomba Algeria watuachie ili mradi ujinga ujinga tu!
 
Kwani ni mara ya kwanza tunamkula al ahly
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…