Mungu awe nanyi daima, awatunze , awalinde, Mungu awe nanyi daima.Sina hakika kama unaweza kutazamwa na jicho zuri kama hivi halafu ubaki salama. Sijui. Narudia sijui.View attachment 1516686
Daah! Hatari sana.CCM kumenoga ndo maana watu wanaunga juhudi kumbe kuna macho mazuri hivi! Hapo lazima uhonge kura yako bila kusikiliza hoja za mtia nia