Kwa hii dhoruba ya jicho, huyu mtunza kondoo alinusurika kweli?

Kwa hii dhoruba ya jicho, huyu mtunza kondoo alinusurika kweli?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Sina hakika kama unaweza kutazamwa na jicho zuri kama hivi halafu ubaki salama. Sijui. Narudia sijui.


Screenshot_20200725-145232.png
 
Usionyeshe uvivu kwenye ulimwengu wa saikolojia
 
Ng'ara Magufuli Ng'ara 😀😁😃😃😃
 
CCM kumenoga ndo maana watu wanaunga juhudi kumbe kuna macho mazuri hivi! Hapo lazima uhonge kura yako bila kusikiliza hoja za mtia nia
 
Back
Top Bottom