Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Unachokitafuta utakipataSijawahi jua taratibu mtu unapotaka kusafiri. Najua ukiwa na Documents inatosha. Sasa kwa nchi ilivyo nadhani ni mpaka uage kwa rahisi kwanza.
Mi sirudi huko kwenu mnaendeshwa na kuongozwa na vilaza. Hakuna wenye uelewa hata wa kawaida tu. Common sense.
Mnimekuja Morocco mara moja ila nitakuwa narudi Egypt so soon na kuendelea na safari nyingine za kujenga TaifaUpo nchi gan boss
Wakati nyie wenyewe mmezubaa kama kamasi.Kila mtu asiporudi wajukuu zetu watapataje ukombozi.
Unachokitafuta utakipata
SAWA SAWA mkuu 💪Nimeshapata mbona. Kitambo tu.
Polisi wamegeuka kuwa uhamiajiSijawahi jua taratibu mtu unapotaka kusafiri. Najua ukiwa na Documents inatosha. Sasa kwa nchi ilivyo nadhani ni mpaka uage kwa rahisi kwanza.
Mi sirudi huko kwenu mnaendeshwa na kuongozwa na vilaza. Hakuna wenye uelewa hata wa kawaida tu. Common sense.
Akili hawanaPolisi wamegeuka kuwa uhamiaji
Hovyo kabisa, usiruhusu mwanao ajiunge na hili genge la hatari ukoo wako utapata laana ya mileleAkili hawana
Hovyo kabisa, usiruhusu mwanao ajiunge na hili genge la hatari ukoo wako utapata laana ya milele
Waanze upya kuusaka ukombozi na waache kuvaa kata k aka vibwebwe.Kila mtu asiporudi wajukuu zetu watapataje ukombozi.
😂Wakati nyie wenyewe mmezubaa kama kamasi.
Waanze upya kuusaka ukombozi na waache kuvaa kata k aka vibwebwe.