Kwa hii mechi ya Bayern Munich vs B.dortimundi, manchester city ajipange Uefa

Kwa hii mechi ya Bayern Munich vs B.dortimundi, manchester city ajipange Uefa

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Bayern munich kila baada ya dikaka kumi anatumbukiza mpira wavuni

Manchester city ana shughuli ya kufanya jumanne la sivyo ataabika

Mpaka sasa dkk ya 50 zishafika nne

Kipara mtihani huo
 
Halafu Kocha ni yuleyule, yuleyule, Thomas Tuchel.

Pep hapa Lazima ata overthink, na ndio itakuwa kosa lake.
 
Kwani man city yeye anashindwa kufanya hivyo? Au huyo bayern yeye ana nini?
 
Back
Top Bottom