Kwa hii mvua, kesho mtasikia Dar imezama

Man, mzigo unaopiga hapa Ubungo, nishawaforwadia meseji mafundi selemala kadhaa kuwauliza kama kuna mtu amekuja kuulizia taarifa za ujenzi wa safina.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba kiama kimeingia ubungo
 
Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.

Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
Wenyeji wa mabondeni wanasema, "Huku kwetu mvua inaweza nyesha hata siku 10 mfululizo bila kuleta mafuriko ila ikinyesha Kimara, Mbezi na maeneo mengine ya huko milimani kwa masaa mawili tu, siku hiyo lazima waisome namba."
 
Duuuh miye toka niingie bed saa 3 sijasikia chochote mpk muda huu ndiyo naona maji nje.
 
Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.

Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
Njooni mikoani huku hakuna ishu hizo za mafuriko.
 
Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.

Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
Uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…