Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.
Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
TMA wakiona mvua wanakuja na story zao na mungu anakatisha mvua wakinyamaza mungu analeta mvua sijui kwa nini CAG hawawachunguzi TMA