Kwa hii mvua, kesho mtasikia Dar imezama

Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.

Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
Hahahah! Nakushauri uwe na kamtumbwi kako ndani ili likitokea la kutokea basi naelea zako tu..
 
Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.

Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
ndio mda mzuri wa kushinda na Alu wangu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ije huku mashambani,mazao yetu yanakauka...
 
Eee mzee baba,.nuhu alikuwa babu yangu aliniachia lile dude yaani natamani lipate mvua ya kutosha linyanyuke yaani..
Babu yako hakuwa na roho kama iyo mzee, na hata mwanae alipompinga lakin aleweza kumuita aingie kwenye chombo.

Wewe hii tabia utakua umerithi kwa bibi yako.
 
Babu yako hakuwa na roho kama iyo mzee, na hata mwanae alipompinga lakin aleweza kumuita aingie kwenye chombo.

Wewe hii tabia utakua umerithi kwa bibi yako.
Potelea pote,. inyeshe tuu tuliamshe duudee๐Ÿ‹๏ธ๐Ÿ‹๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ