Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.
Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
Yale ni makadirio ambayo yana base kwenye asilimia na hua yanabadilikaTMA wakiona mvua wanakuja na story zao na mungu anakatisha mvua wakinyamaza mungu analeta mvua sijui kwa nini CAG hawawachunguzi TMA
πππππ haka kahali ka hewa kama huna issue na upo single ndio utajua huji...Alu atakua mjamzito sahivi. Askari jela hawawezi muacha.
Wanaume WA huku hata mende akiingia chumbani anaanzisha Uzi huku amepanda kwenye mlango.Watu wa Dar mnazingua sana hivi hamjui kuwa hiki ni kipindi cha mvua za masika au ndio kujitoa fahamu, laiti ungekua unaishi moja ya mikoa ya huku nyanda za juu kusini si ndio kila siku ungeanzisha uzi.